Katika mahojiano haya maalum, Dkt. Dickens Lubanga anazungumzia kwa kina kuhusu hali ya virusi vya UKIMWI (HIV) kwa watoto nchini Kenya. Jifunze kuhusu njia za maambukizi, kinga, matibabu, changamoto za kijamii, na jinsi jamii inaweza kusaidia watoto wanaoishi na HIV. Tazama na elimika!
👉 Subscribe kwa habari zaidi za afya kutoka TV Magharibi!
#HIVkwaWatoto #DrDickensLubanga #AfyaYaWatoto #TVMagharibi #UkimwiKenya
