Tazama mahojiano maalum na Dkt. Dickens Lubanga wa Bungoma Children's Hospital akieleza kwa kina kuhusu nimonia kwa watoto na watu wazima nchini Kenya.